Jamie Bartlett

Jamie Bartlett

Amezaliwa Jamie Bartlett
9 Julai 1966
Maidenhead, Berkshire
Amekufa 23 Mei 2022
Johannesburg, Afrika Kusini
Kazi yake Muigizaji
Miaka ya kazi 1984-2022
Ndoa Camilla Waldman
Watoto 1

James Bartlett (alizaliwa mnamo tarehe 9 Julai 1966 [1] - 23 Mei 2022)[1] Archived 25 Mei 2022 at the Wayback Machine. ni mwigizaji wa filamu kutoka nchini Afrika Kusini anayejulikana sana kwa jukumu lake kama bwana mbaya (David genero) [2] kwenye Rhythm City (TV series) ambayo inarushwa hewani katika nchi nyingi za kiafrika kama Kenya, Zimbabwe, Botswana, Lesotho, Cameroon,

Malawi na Ghana.[1]

  1. 1.0 1.1 "10 Things You Didn't Know About Jamie Bartlett - Youth Village". Youth Village. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-05-03. Iliwekwa mnamo 2021-10-09.
  2. Times Live article on David Genaro

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy